• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu

 Halmashauri ya Mji Tunduma ilianzishwa tarehe 01 Julai 2015 ikiwa na Muundo wa Kiutawala wa Tarafa Moja (01) ya Tunduma, Kata 15 na Mitaa 71. Muundo wa Kimajukumu Halmashauri imegawanyika katika Idara 13 na Vitengo 6. Halmashauri ya Mji Tunduma ina jumla ya watumishi 1075   mahitaji ya watumishi ni 1325 upungufu ni watumishi  250 kama inavyoonyeshwa katika jedwali hapo chini;

Jedwali Na.1a: Idadi ya Watumishi Kiidara


Na

Idara

Watumishi waliopo

Mahitaji

Upungufu

1.

Elimu Msingi

550

577

27

2.

Elimu Sekondari

279

297

18

3.

Fedha na Biashara

10

16

6

4.

Mifugo na Uvuvi

7

21

14

5.

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

22

32

10

6.

Maendeleo ya Jamii

08

17

9

7.

Ujenzi

04

13

9

9.

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

05

7

2

10.

Afya

158

199

41

11.

Utawala na Utumishi

109

129

20

13.

Kitengo cha Sheria

02

3

1

14.

Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

05

7

2






15.

Kitengo cha TEHAMA

02

03

01

17.

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

02

03

01

18.

Kitengo cha Uchaguzi

00

01

01

JUMLA

1163

1325

162



STAHIKI NYINGINEZO

Halmashauri ya Mji Tunduma imefanikiwa kutenga bajeti ya kununua vyombo vya usafiri ambavyo ni pikipiki na magari ambapo mwaka 2020/2021 imefanikiwa kununua pikipiki 07 na magari 02. Mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ya Mji Tunduma imefanikiwa kununua pikipiki 03 na gari moja aina ya Landcruiser Hard top ambayo bado haijafika hii ni kwaajili ya kurimarisha utendaji  kazi kwa watumishi, pia kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri inatekeleza ujenzi wa nyumba 1 yenye nyumba tatu kwa Pamoja katika kituo cha afya Chiwezi, Nyumba moja ya Mkuu wa Idara na ya Mkurugenzi wa Mji, kwa fedha zilizotolewa na serikali kuu.

Pia kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri ya Mji Tunduma imetenga bajeti ya kununua pikipiki 04 na magari 03. Moja ni gari ya maji   taka, pick up moja kwaajili ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri ya Mji Tunduma na Gari ya zima moto, Pia Halmashauri imetenga bajeti ya kujenga nyumba 8 za watumishi ikiwa nyumba 5 kwaajili ya wakuu wa Idara na  nyumba 3 ni kwaajili ya walimu Elimu Msingi.


CHANGAMOTO.

 Penye mafanikio hapakosi changamoto, Halmashauri ya Mji Tunduma inachangamoto mbalimbli kama ifuatavyo.

UPUNGUFU WA WATUMISHI.

Kwa mujibu wa ikama Halmashauri inatakiwa kuwa na watumishi jumla 1325 mpaka sasa kuna watumishi 1075 upungufu mkubwa wa Watumishi 250 upo katika Idara ya Utawala hasa Madereva, watunza kumbukumbu na Makatibu muhutasi, Idara ya Afya kutokana na kuongezeka kwa Hospitali ya Mji 1,vituo vya Afya vitatu, na zahanati 3, Idara ya Elimu Sekondari hasa walimu wa masomo ya Sayansi, Idara ya Elimu Msingi hasa katika shule mpya zilizojengwa na kusajiliwa kwa mwaka 2020/2021 na Idara za Kilimo na Mifugo. Pamoja na changamoto hii Halmashauri imekuwa ikitenga Bajeti kila mwaka kwaajili ya ajira mpya lakini utekelezaji wake ni hafifu tunaletewa watumishi wachache hasa Idara za Elimu na Afya na watumishi wengine tunaambiwa tusubiri maelekezo lakini hatupewi maelekezo hayo ya uombaji wa vibali vya ajira.


UPUNGUFU WA GARI YA KUBEBEA WAGONJWA

Halmashauri ya Mji Tunduma ina wakazi wengi na watumishi 1075 wakati gari ya kubebea wagonjwa ni moja na kusababisha utendaji wa kazi kuwa mgumu hasa kwa watumishi Idara ya Afya pale inapotokea uhitaji wa gari la kupeleka wagonjwa Hospitali ya Rufaa Kanda iliyopo Mbeya.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa