• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Lishe bora kwa Afya imara

Halmashauri ya Mji Tunduma imeendelea kutekeleza afua mbalimbali za lishe kwa kuzingatia muongozo wa Taifa wa Lishe, Mpango wa maendeleo wa Taifa wa miaka mitano, Mpango Jumuishi wa Lishe wa Taifa (2016 – 2022) pamoja na Sera mbalimbali za Nchi.


Halmashauri ya Mji Tunduma ina Vituo vya kutolea huduma za afya 18 kati ya hivyo vituo 14 watumishi wake wamepata mafunzo ya lishe. Pia, kuna ratiba ya kutoa elimu ya lishe kila wiki kwa wazazi na walezi wanaofika kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, ambapo kwa mwaka 2021/2022 jumla ya wazazi na walezi 65,795 walipata elimu mbali mbali ya afua za lishe, hii ni sawa na 98.8% ya wazazi na walezi 66,600 waliolengwa kufikiwa.


Aidha, Mitaa yote 71 ina wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliopata mafunzo ya lishe, wanaotoa elimu ya lishe kwa jamii na kutembelea kaya mbalimbali kwa ajili ya kutambua watoto wenye utapiamlo, ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa vitendo. Pia, huwa kunakuwa na siku ya lishe katika Vijiji/Mitaa ambapo jamii inafundishwa jinsi ya kupika uji wa mtoto kwa kutumia vyakula vilivyopo katika jamii. Aidha, kupitia vipindi vya redio, mikutano ya uhamasishaji katika jamii, Vikao vya WDC, Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Mji Tunduma, Kampeni za utoaji wa matone ya Vitamin “A” na Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani, wananchi wanajengewa uelewa juu ya masuala ya lishe, ili kuepukana na utapiamlo. Jamii inaendelea kuelimishwa juu ya kutumia mchanganyiko wa vyakula mbalimbali vinavyopatikana katika maeneo yao kwa kuzingatia maelekezo ya wataalam wa Afya.


Katika kuhakikisha kuwa afua za lishe zinatekelezwa kwenye Halmashauri ya Mji Tunduma yetu: -

Wakurugenzi wa Halmshauri, walifunga mikataba na Watendaji wa Kata na Watendaji wa Kata wakafunga mikataba na watendaji wa vijiji na Mitaa, ili kusimamia shughuli zote za lishe zinazotekelezwa kwenye maeneo yao.

Kutenga bajeti ya shilingi 1,000/= kwa kila mtoto chini ya miaka 5 kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe ambapo katika kipindi cha 2021/2022 Jumla ya shilingi 30,806,000= zilitengwa kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe.

  •   Kupata nafasi ya kutoa elimu ya lishe katika radio ya Ilasi FM
  •   Kushirikiana na waganga wa jadi kwa kuwaelekeza dalili za awali za utapiamlo
  •   Kuhakikisha kila idara mtambuka kama MAENDELEO YA JAMII, KILIMO NA MIFUGIO, MAJI NA ELIMU inatenga bajeti kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa