• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Kitengo cha Huduma za Sheria

 

Kitengo cha huduma za Sheria kimetekeleza majukumu yake katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023  kama ifuatavyo;

  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashuri ya Mji Tunduma katika masuala mbambali ya Kisheria.
  •  Kitengo cha Sheria kinaendelea kusimamia Sheria Ndogo za mwaka 2017 kwa kushirikiana na Migambo, Watendaji wa kata na timu za mapato, kwani hadi sasa watu wanaovunja Sheria Ndogo hususani kipindi cha operesheni za mapato wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya Sheria ikiwa ni pamoja kufikishwa Mahakamani na kulipa faini.


USIMAMIZI WA MASHAURI.

  • Kitengo cha Sheria kinaendelea kutekeleza majukumu yake ya kuiwakilisha Halmashauri ya Mji Tunduma katika kusimamia mashauri kwenye Mahakama Kuu Mbeya, Wilaya ya Momba, ya Mwanzo Tunduma pamoja na Baraza la Ardhi Nyumba na Makazi la Wilaya Mbeya na Mbozi.
  • Aidha Kitengo cha Sheria kimefungua kesi za vikundi za madai katika Mahakama ya Mwanzo jumla ya kesi arobaini na mbili (42) zimemaizika hadi sasa kesi saba zimeondolewa Mahakamani baada ya kukamilisha kulipa fedha zote walizokuwa wanadaiwa hata hivyo Halmashauri inaendelea na zoezi la kukazia hukumu katika Mahakama ya Wilaya ya Momba kwa kesi 35 zilizo baki.
  • Kuandaa nyaraka mbalilmbali za kisheria na za Mahakamani pamoja na kuendelea kusimamia utendaji kazi wa Mabaraza ya Kata ambapo tumewapa mwongozo mpya wa mabadiliko ya Sheria ya usimamizi wa kesi za Ardhi.


MIKATABA YA HALMASHAURI.

Tumefanya upekuzi (Vetting) na kusimamia Mikataba mbalimbali ambayo imetekelezwa na Halmashauri ya Mji Tunduma kwa mchamganuo ufuatao.

  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya vikundi vya wajasiriamali katika mikopo ya asilimia 10% kwa vijana, wanawake na walemavu.
  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya Ujenzi wa Jengo la Utawala Halmashauri ya Mji Tunduma.
  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya Ujenzi wa Shule za Misingi na Sekondary za Halmashauri ya Mji Tunduma.
  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya miradi ya UVIKO 19 ya Halmashauri ya Mji Tunduma. Kufanya upekuzi wa Mikataba ya miradi ujenzi maeneo ya kufanyia biashara wa Machinga katika Halmashauri ya Mji Tunduma.
  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya Ujenzi wa Jengo la Hospital awamu ya tano na sita la Halmashauri ya Mji Tunduma.
  • Kufanya upekuzi wa Mikataba ya Ujenzi wa eneo maalumu la kutupia taka ngumu (Dampo) katika Halmashauri ya Mji Tunduma.
  • Kushiriki kutatua migogoro mbalimbali kutoka kwa wananchi hasa migogoro ya Ardhi pamoja na kutoa ushauri wa kisheria kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa