• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Miradi inayotekelezwa

UJENZI WA VYUMBA 10 VYA MADARSA KATIKA SHULE YA MSINGI HAISOJA (GHOROFA)


Mradi umehusisha ujenzi wa vyumba Kumi (10) vya madarasa, ofisi nne (4) za walimu na matundu ishirini na nne (24) ya vyoo katika Shule ya msingi Haisoja, iliyopo kata ya Sogea. Mradi unajengwa kwa fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri na michango ya wananchi.

Mradi huu unatekelezwa kwa njia ya Force akaunti. Mradi ulianza kutekelezwa tarehe 21/12/2021 na tarehe ya kumaliza ni 30/09/2022. Mpaka sasa mradi huu umepokea fedha jumla sh. 550,000,000, fedha zimeingia kwa awamu sita tofauti kupitia akaunti ya Kata ya Sogea namba 61510011004 kutoka Halmashauri ya mji Tunduma.


GHARAMA ZA MRADI.

Jumla ya makadirio ya gharama za mradi ni Sh. 829,637,866.73. Kati ya hizo Sh. 820,372,867/= ni fedha za mapato ya ndani toka Halmashauri ya Mji Tunduma na Sh. 9,265,000/= ni michango ya wananchi. Mpaka sasa mradi huu umepokea jumla ya Sh. 559,000,000/= tu, fedha iliyotumika jumla Sh. 546,511,864/= Fedha iliyobaki ni Sh. 3,488,136/= Matumizi ya fedha hii yamehusisha manunuzi ya vifaa mbalimbali vya ujenzi katika miundombinu, malipo ya mkandarasi na malipo ya mafundi.


HALI YA UTEKELEZAJI WA MRADI

  • Mpaka sasa utekelezaji wa mradi umefikia 65%.
  • Shughuli zilizofanyika.
  • Usanifu wa eneo la ujenzi (feasibility study), kazi hii imefanywa na mkandarasi CEPLAN CO LTD kutoka Dar es salaam.
  • Kusawazisha eneo la ujenzi na kuondoa udongo wenye rutuba katika eneo la ujenzi (site leveling).
  • Kuchimba mashimo ya nguzo katika jengo la ghorofa la vyumba 10 vya madarasa    pamoja kumwaga zege kwenye mashimo hayo.
  • Kuchimba na kujenga msingi
  • Kumwaga jamvi
  • Kumwaga zege la nguzo za msingi.
  • Kupandisha kuta
  • Kusuka nondo za bimu ya juu na nguzo (first floor)
  • Kuweka miundombinu ya umeme na mfumo wa TEHAMA.
  • Kumwaga jamvi katika floor ya kwanza na nguzo
  • Kumwaga zege la beam ya juu (Roof beam)
  • Kujenga tofari za juu, kazi inaendelea


MICHANGO YA WANANCHI.

Katika mradi huu wananchi wa kata ya sogea kutoka mitaa minne wamechangia pesa taslimu jumla ya kiasi cha Tsh. 9,265,000/- matumizi ni Tsh 9,217,000/- salio ni Tsh. 48,000/- fedha zilizotumika katika shughuli mbalimbali katika utekelezaji wa mradi ikiwa ni gharama za maji, kusafirisha baadhi ya vifaa, gharama za kushusha vifaa, kulipa walinzi n.k.


MANUFAA YA MRADI.

  • Itapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano na mrundikano wa wanafunzi darasani na kuongeza ufanisi katika ufundishaji utakaopelekea kuinua kiwango cha elimu ambao utaleta manufaa katika ukombozi wa jamii kifikra, kimtazamo na mwisho kuchochea ustawi na uchumi wa taifa.
  • Mradi huu pia utakua dira na kutatoa changamoto mpya za kimapinduzi katika sekta ya elimu hasa ya msingi, katika ukanda na mkoa wetu, kwamba serikali inayo nia na dhamira ya dhati katika kuboresha mazingira na miundombinu ya elimu kama ilivyoelekeza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020 – 2025 sehemu ya tatu ibara ya 80.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa