• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Divisheni ya Maendeleo ya Jamii


Divisheni ya Maendeleo ya Jamii imejikita katika kutafsiri, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa Sera za Wizara, Mikakati ya Maendeleo ya Jamii na Mikataba ya Kimataifa ili kuwezesha,kuimarisha ushiriki  na uwezo wa Jamii katika Kuibua, Kupanga, Kuamua, Kutekeleza, Kusimamia na Kutathimini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kujiletea Maendeleo Endelevu.


Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake na Vijana ni mfuko endelevu unaohusika na ufuatiliaji wa mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Mfuko huu ni wa mzunguko (revolving Fund) kwa mujibu wa Sheria ya Fedha ya Serikali za Mitaa Tangazo la Serikali Na 286 la Tarehe 5/4/2019 mfuko huu unategemea fedha za 10% zinazotengwa na Halmashauri zitokanazo na mapato yake ya ndani kwa kila mwaka husika.


Halmashauri ya Mji Tunduma katika mipango ya bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021- 2021/2022 iliweza kukusanya, kutenga na kutoa fedha kwa ajili ya mikopo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu kwa mchanganuo ufuatao.


Mwaka 2020/2021 Halmashauri ilikusanya jumla ya Tsh 6,145,569,753.00 ya mapato halisi ambapo 10% ni sawa na 614,556,975.30, hata hivyo Halmashauri ilifanikiwa kuchangia kiasi cha shilingi 471,633,000.00 sawa 95% nakusalia na kiasi cha shilingi 142,923,975.30 ambazo zitachangiwa katika Mwaka wa Fedha 2022/2023.


Aidha kiasi cha shilingi 480,633,000 zilikopeshwa kwa vikundi ambazo zilienda kwa vikundi 36, vikundi vya Wanawake 20 mkopo wenye thamani ya shilingi 235,916,500.00, vikundi vya vijana 13 mkopo wenye thamani ya shilingi 219,916,500.00 na watu wenye ulemavu vikundi 3 mkopo wenye thamani ya shilingi 24,800,000.00.

 

Mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri  katika mipango na bajeti  ilikusanya mapato halisi yenye jumla ya Shilingi 8,022,090,500.00 na kutenga kiasi cha shilingi 802,209,050.00 kwa ajili ya kukopesha  kwa vikundi vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu. Hadi kufikia mwezi 30 Juni 2022 jumla ya shilingi 802,209,050.00 zilitolewa.


Na Kiasi kilichokopeshwa hadi kuishia tarehe 30 Juni 2022 ni Tshs. 720,609,050.00 kwa vikundi 75, kati ya vikundi hivyo, vikundi  vya wanawake 39 mkopo wenye thamani ya shilingi 281,283,620.00 , Vikundi vya vijana 36 mkopo wenye thamani ya shilingi 318,483,620.00 na watu wenye ulemavu 18  mkopo wenye thamani ya shilingi 120,841,810.00 fedha ambazo zilibaki na hazikukopeshwa ni shilingi 81,600,000.00, zitatolewa kwa  robo ya kwanza Mwaka wa Fedha 2022/2023. Hata hivyo vikundi vyote vilivyoomba na vina sifa vilipata mikopo.

Matangazo

  • TANGAZO LA UTEUZI WA VIONGOZI March 14, 2023
  • UTEUZI WA VIONGOZI March 15, 2023
  • UTEUZI NA KUBADILISHIWA VITUO KWA MAKATIBU TAWALA March 16, 2023
  • TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2022/23 October 07, 2022
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • KUFIKA MWAKA 2025 TUNATAKA UNYWAJI WA MAZIWA TUNDUMA UFIKE 60% _MWALUKASA

    March 15, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 14, 2023
  • SIRI NDIO UHAI WA SERIKALI, EPUKENI KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTUMIANA TAARIFA ZA SERIKALI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • SITEGEMEI PIKIPIKI HIZI MWENDENAZO BAR _ DC LULANDALA

    March 11, 2023
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 752 807 767

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa