Karibu katika tovuti rasmi ya Halmashauri ya Mji Tunduma, ambapo utapata taarifa mbalimbali kuhusu Halmashauri katika kuratibu, kusimamia kutekeleza majukumu ya Mamlaka zote za Serikali za Mitaa zilizopo Tunduma katika masuala yanayohusu Elimu, Maji, Miundombinu, Matumizi ya Ardhi, Afya, Udhibiti na uzuiaji wa moto. Pia utaweza kujua fursa mbalimbali zinazopatikana ndani ya Mji wa Tunduma
Tunaamini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo kunaleta maendeleo endelevu kwa wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma na Taifa kwa ujumla
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957389
Simu ya Mkononi: +255 754 763 975
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa