• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

SIKUKUU YA MAPINDUZI

Sunday 11th, May 2025
@ZANZIBAR

Mapinduziya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ilikumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake,iliyoundwa hasa na Waarabu, na hatimaye kuweka uongozi mikononimwa Waafrika, ambao ndio wengi visiwani humo(230,000 hivi), kwenye bahari ya Hindi, karibu na pwani ya Tanganyika.

Usultani waZanzibar ulikuwaumepewa na Uingereza uhuru wakemwaka 1963. Kabla ya hapo, Waarabu walikuwa wamefaulukudumisha katika mfululizo wa chaguzi utawala waliokuwanao tangu zamani za Zanzibar kuwa chini ya Usultani wa Omani.

Chama cha Afro-ShiraziParty (ASP),kilichowakilisha hasa Waafrika, kilipoona kwamba bungeni kinaviti vichache ingawa kilipata 54% za kura katikauchaguzi wa Julai 1963, kilipatana na chama cha mrengo wa kushoto Umma Party.

Tarehe12 Januari 1964 asubuhi na mapema, mwanachama wa ASP John Okello (1937-1971 ?)kutoka Uganda aliongozawanamapinduzi 600–800 wa kisiwa kikuucha Unguja kushinda polisi wanchi na kuteka silaha zao.Halafu walielekea Zanzibar Town walipompinduaSultani Jamshid bin Abdullah na serikali yake. Waliokufa katikamapigano wamekadiriwa kuwa 80 hivi tu.

Kumbeyalifuata kwa siku kadhaa (labda hadi tarehe 20 Januari) maangamizi yakimbari dhidi yawakazi wenye asili ya Kiarabu (waliokuwa 50,000 hivi) na ya Asia Kusini (waliokuwa 20,000 hivi); hakuna hakikakuhusu idadi yawaliouawa: makadirio yanataja kuanzia mia kadhaahadi 20,000.

Kiongoziwa ASP Abeid Karume, asiyekuwa na msimamo mkali akawa rais wakwanza wa nchi, na wanachama wa Umma party walipewa nafasi serikalini. KufikiaMachi Okello alikuwa ameshawekwa pembeni na kufikia Aprili kikosi chakekimeshanyang'anywa silaha[1].

Mwelekeowa Kikomunisti wa baadhi katika serikali mpyauliogopesha nchi za Magharibi. Kwa kuwa Zanzibar ilikuwachini ya athari ya Uingereza, serikali yake iliandaa mipango kadhaa. Hatahivyo, hofu ya kuundwa serikali ya Kikomunisti haikutimia kamwe, na kwa kuwawananchi wa Uingereza na Marekani waliwezakuhama bila shida, mipango hiyo haikutekelezwa.

Wakatihuo nchi za Kikomunisti za China, UjerumaniMashariki na Umoja waKisovyeti zilianzishamahusiano ya kirafiki na serikali mpya ya Zanzibar kwa kuitambua rasmi na kwakutuma washauri.

Karumealifanikisha majadiliano ya kuunganisha Zanzibar na Tanganyika ili kuundahatimaye muungano wa Tanzania; vyombo vya habari vilitafsiri muungano huo kuwa juhudiza kuzuia Ukomunisti kugeuza Zanzibar.

Mapinduziyalikomesha miaka 200 ya utawala wa Waarabu Zanzibar, na yanaadhimishwa kilamwaka kama sikukuu ya taifa zima la Tanzania.

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Rais Samia Atoa Mkono wa Eid El Fitr, Pasaka Tunduma

    March 31, 2025
  • Mhe. Dkt. Nchemba Atembelea OSBP Tunduma

    March 20, 2025
  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa