• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Chaurembo Ahimiza Wananchi Kujiandikisha, Ataja Bilioni 4.3 za Mikopo

Imewekwa : October 19th, 2024

Na Benton Nollo, TTC

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Tunduma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mariam Chaurembo amewahimiza Wananchi wa Mji wa Tunduma kutumia muda uliobaki kujiandikisha kwa ajili ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024.

Chaurembo ametoa wito huo alipokuwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo kufunga Songwe Route Match 2024 kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo baada ya utoaji wa zawadi kwa Washiriki wa michezo mbalimbali iliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma tarehe 19 Oktoba 2024.

"Naomba nieendelee kuwahamasisha Wananchi katika siku mbili zilizobaki, kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Orodha ya Wapiga Kura ili wapate sifa za kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa." Amesema Chaurembo.

Chaurembo amesema zoezi la uandikishaji limeanza tangu tarehe 11 Otoba 2024 na litahitimishwa tarehe 20 Oktoba 2024 ambapo vituo vya kujiandikisha vinafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Aidha, Chaurembo ameendelea kuwakumbusha Wananchi wa Mji wa Tunduma hasa Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu kujitokeza kuomba mikopo ya Asilimia Kumi (10%) ambayo dirisha la uotoaji wa mikopo hiyo tayari lineshafumguliwa.

"Mikutano ya uhamasishaji tayari tumeshafanya na wakati tunafanya mikutano ya uhamasishaji tulikuwa na shilingi bilioni 4.1 laking mpaka sasa Halmashauri ina shilingi bilioni 4.3...fedha hizi zipo na ni zao." Amesema Chaurembo na kuongeza;

 "Serikali imeboresha utoaji wa mikopo hii, hivi sasa umri kwa vijana umeongezeka kutoka miaka 18 hadi miaka 45  wakati awali ukomo ulikuwa miaka 35."

Matukio katika Picha:




Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa