• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

FUATENI MAELEKEZO MLIYOPEWA HATUTAMUONEA AIBU YEYOTE ATAKAYE HARIBU KAZI

Imewekwa : April 28th, 2023

Na William Maganga – Tunduma TC

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu Mlimba amewataka mafundi wote waliopata kazi mbalimbali kuhakikisha wanafanya kazi kwa Ubora unaofaa

Mhe. Mlimba ameyasema hayo wakati wa Halfa ya kusaini mikataba yenye Thamani ya Tsh. 814,000,000/= kati ya Halmashauri ya Mji Tunduma na mafundi hao ambao wamefanikiwa kupata kazi hizo

"Nawapongeza kwa kupata kazi katika Halmashauri yetu lakini niwakumbushe kuwa kuna watu wengi ambao waliomba na hawakufanikiwa kupata hivyo Mikataba hii tunasaini hapa muitendee haki na kuacha uzembe au urafiki ambao hauna tija katika taasisi. Kama kuna changamoto usije kulalamika kwangu wakati hujapita kwa Mkurugenzi hapana anza kwanza kwake” alisisitiza Mhe. Mlimba

Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa amewaambia Wakandarasi na Mafundi kuwa atakayekiuka mkataba huu basi Halmashauri haitasita kusitisha mkataba na kumpatia mwingine

 

"Mikataba hii tumesaini Leo hapa wazi kabisa hivyo asitokee mtu kuja kuwakwamisha, Ofisi yangu huwa haiombi hela wala asijetokea mtu kusema katumwa hela na mkurugenzi jiepusheni na matapeli" alisema Mkurugenzi Magesa

Mkandarasi wa kumalizia jengo la Utawala Jaruo karebe wa kampuni la United Brilliant Solutions (T) LTD ya Dodoma amesema kuwa yeye na kampuni lake wapo tayari kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha kazi zinaisha kulingana na mkataba

Mikataba minne imesainiwa leo ambayo ni ujenzi wa nyumba ya Mtumishi yenye Gharama ya Tsh. 170,000,000/=, Ujenzi wa jengo la Mkurabita lenye Thamani ya Tsh. 91,000,000/=, ujenzi wa chumba cha upasuaji na wodi Hospitali ya Mji Tunduma Thamani ya Tsh. 500,000,000/= na Utengenezaji wa Vitanda Shule ya Sekondari ya Wasichana Dkt. Samia vyenye Thamani ya Tsh. 53,000,000/=

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Tusisahau Tulikotoka: TD Chaurembo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa