• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

KAMPUNI ZA MBOLEA ZATAKIWA KUHESHIMU MAKUBALIANO KUSAMBAZA MBOLEA ZA RUZUKU

Imewekwa : October 13th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga, leo Oktoba 13 amefunga maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani na kuzitaka kampuni zilizoingia mkataba wa kuuza mbolea ya ruzuku na serikali  kuzingatia makubaliano ya mkataba huo.

Kauli mbiu iliyobeba maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Kimondo wilayani Mbozi  ni Ajenda 10/30: "Matumizi sahihi ya mbolea ya ruzuku kwa kilimo chenye tija", yametoa fursa mbalimbali kwa wananchi hao ikiwemo ununuzi wa mbolea za ruzuku ambapo kwa wananchi walionunua mifuko zaidi ya minne ya mbolea walipata mmoja bure.

Queen Sendiga amesema, kwa kuwa Rais Samia ameamua kuiinua sekta ya kilimo ikiwa pamoja na kuwainua wakulima wote, mbolea ya ruzuku ni njia mojawapo kubwa ya kufanikisha azma hiyo hivyo kampuni za mbolea zinao wajibu wa kufikisha huduma hiyo kwa wakulima kwa ufanisi.

"Rais Samia kupitia Wizara ya Kilimo amefanya mengi makubwa katika kuendeleza sekta hii pamoja na wakulima wenyewe, uamuzi wa mbolea ya ruzuku ni sahihi kwa kuwa unawawezesha wakulima kufanya kilimo chenye tija, kikubwa ni kila mtu kuhakikisha anatimiza wajibu wake ili lengo la kuendeleza kilimo litimie."

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Stephan Ngailo ametoa wito kwa wadau wote wa tasnia ya mbolea kutoa  ushirikiano ili  kufikisha huduma karibu na wakulima.

"Pelekeni mbolea karibu na maeneo yalipo mashamba ya wakulima mashamba hayako mijini, wakulima wapo vijijini pelekeni mbolea vijijini" Dkt. Ngailo alisisitiza.

Aidha, Dkt. Ngailo amewataka wakulima kujisajili huku wakizingatia utoaji wa taarifa sahihi za ukubwa wa mashamba yao ili waweze kununua mbolea inayotosheleza mahitaji ya shamba vinginevyo watanunua mbolea isiyokidhi mahitaji ya shamba.

"Hakuna ada wala kiingilio kwa ajili ya kwenda kujisajili ada ni mguu wako" alisisitiza  Dkt. Ngailo.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa