• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

Kikundi cha Vijana Sakasaka Chamaliza Mkopo kwa Wakati

Imewekwa : October 9th, 2023

Benton Nollo, TTC na Agripa Mvela, SJMC UDSM

Kikundi cha Vijana Waendesha Pikipiki cha Sakasaka, Halmashauri ya Mji Tunduma kimefanikiwa kumaliza mkopo wake wa shilingi milioni 16.15 ambazo walikopeshwa na Halmashauri hiyo kupitia mapato ya ndani yanayotokana na asilimia 10 ya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Kikundi hicho chenye Wanachama sita (6) ambapo leo tarehe 09 Oktoba 2023 baada ya kumaliza mkopo huo ambao waliutumia kununua pikipiki sita, wamekabidhiwa rasmi na Halmashauri Kadi za Umiliki wa pikipiki hizo ambazo kwa sasa ni mali ya Kikundi hicho.

Akizungumza kwa niaba ya Mratibu wa Dawati la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Veronica Msemwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika Makao Makuu ya Halmashauri amesema kikundi hicho kimeonesha uaminifu mkubwa kwani kimekamilisha marejesho kwa kutumia miezi tisa kati ya miezi 12 ya muda wa mkataba wa marejesho.  

“Nitumie nafasi hii kuwapongezeni wanakikundi wote kwa kuwa na nidhamu na mkopo mliouchukua, kwani mlikoposhwa tarehe 23 Desemba 2022 lakini mmeweza kumudu marejesho kwa wakati na mmejitahidi kumaliza mkopo wenu miezi mitatu kabla ya ukomo wa marejesho kwa mujibu wa mkataba…nitoe wito kwa vikundi vingine kuiga mfano wenu kwani kwa kufanya hivyo mnatoa nafasi kwa vikundi vingine navyo kunufaika na mikopo hii.” Amesema Msemwa.

 Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kikundi hicho, Jesfard Mwashilindi ameishukuru Halmashauri ya Mji Tunduma kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii kwa kuwaamini na kuwakopesha vijana mkopo huo ambao umewafanya ndani ya miezi tisa kuwa wamiliki wa pikipiki ambazo watazitumia kujiingizia kipato na kujikwamua kiuchumi.

...

Matukio katika Picha

Picha zote juu ni wakati wa Hafla ya Makabidhiano ya Hati za Umiliki baada ya Kikundi cha Vijana cha Sakasaka kukamilisha marejesho ya mkopo.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa