• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MAADHIMISHO YA SIKU YA MBOLEA DUNIANI KITAIFA YAFANYIKA MKOA WA SONGWE

Imewekwa : October 11th, 2022

Maadhimisho ya mbolea yamefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Waziri Waziri Kindamba katika Viwanja vya Kimondo – Mlowo, wilayani Mbozi. Maadhimisho ya mwaka huu 2022 yana kaulimbiu isemayo Agenda10/30 “Matumizi sahihi ya mbolea ya Ruzuku kwa kilimo chenye tija” 

Akiongea wakati wa ufunguzi Mhe. Mkuu wa mkoa amewataka TFRA kutoa ufafanuzi juu ya Bei ya Mbolea kwani baadhi ya wakulima wameanza kulalamika kuwa mbolea hazifiki kutokana na wafanyabiashara kushindwa kupeleka maeneo ya vijijini kwani gharama za usafiri zinakuwa kubwa. Mkurugenzi wa TFRA amesema kuwa jambo hilo limeshawafikia na tayari wameanza kuchukua hatua hivyo wakulima wasiwe na wasiwasi

Mhe. Waziri Waziri Kindamba amewaasa wananchi kuwa wazitumie mbolea hizo za ruzuku vizuri kwani nchi zetu za Jirani hazina ruzuku kwa hiyo kuna uwezekano baadhi yetu tukaanza kuuza mbolea hizi nje ya Nchi.

“Ukiuza mbolea unakuwa hujamtendea haki Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya Ruzuku hii tunayoipata sasa” alieleza Mhe. Kindamba 

Baada ya Rais kutoa Ruzuku ametutengenezea kitu kizuri katika usalama wa chakula “watu wenye njaa ukianzisha maandamano hawaulizi maandamano ya nini watauliza kunashingapi, Nafsi yenye njaa huona kila kitu kitamu kwani muda huo unaweza kula kitu chochote” alisema RC Kindamba

Nawaasa wakulima tuzitumie mvua zinazonyesha kidogo na Miti ya mkoa wa songwe tuhakikishe haikatwi hovyo pia tupande miti mingi sana na hapa nisema tuu “hatutakuwa na huruma kwa mtu anayeharibu mazingira kwa kukata miti gharama za kurudisha uoto wa asili ni kubwa sana kuliko kuwazuia watu wanaoharibu mazingira”

Baadhi wa kwalima hawazitumii taarifa za hali ya hewa, hivyo kupitia maazimisho haya niwaase mzitumie taarifa hizo tusiishi kwa mazoea.

Pia Mhe. Kindamba alisema Wakulima hatutawapangia bei zalisheni mazao yenu na muuze bei zenu ili kuwaletea faida na kipato kwa familia zenu na Watoto wenu. Asitokee mtu kuwalazimisha kuuza bei ambayo niya hasara kwenu.

Muwatumie wataalamu wa kilimo ili tulime kilimo kwa teknolojia ili tuweze kupata mazao mengi zaidi kwani teknolojia itatusaidia kukuza kilimo chetu.

Nawapongeza sana vijana kwani mmeongezeka sana katika kujikita katika kilimo na hapa ndio tunatakiwa tutumie Teknolojia ili tuweze kupata mazao mengi sana na yenye tija ili vijana hawa wasikate tamaa.



Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa