• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MAAFISA TARAFA, WATENDAJI KATA WAFUNDISHWA MBINU ZA KUWAHUDUMIA WANANCHI

Imewekwa : June 15th, 2023

SONGWE: Maafisa tarafa na watendaji wa Kata wa Mkoa wa Songwe wamefundishwa mbinu mbalimbali za kuwahudumia wananchi kwenye maeneo yao ya kazi katika kikao kazi kilichowakutanisha viongozi hao ngazi ya Kata na Tarafa


Akifungua mafunzo Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Sospeter Mtwale ametoa wito kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata kutengeneza mahusiano mazuri kati ya wananchi na Serikali pale wanapotekeleza majukumu yao.


Naibu Katibu Mkuu, Sospeter Mtwale amesema lengo la mafunzo ni kuwajengea uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali ambazo hukwamisha kwa kiasi kikubwa ufanis wa kazi za Maafisa Tarafa na watendaji wa Kata.


"Changamoto ya usimamizi usioridhishwa wa miradi ya maendeleo, kutotatuliwa kwa baadhi ya kero katika maeneo yao, kutofuatwa kwa maadili ya kiutumishi, kuwepo kwa migogoro ya kiutendaji na ukosefu wa ubunifu ni baadhi ya changamoto ambazo baada ya mafunzo haya mtakuwa mumepata mbinu za kuzitatua" Naibu Katibu Mkuu (OR TAMISEMI) Sospeter Mtwale.


"Tunategemea baada ya mafunzo haya mtakwenda kufanya kwa ufanisi mkubwa hasa kwenye ukusanyaji mapato ya ndani, kuimalisha Ulinzi na usalama pamoja na kuisemea Serikali kwa mazuri ambayo yanafanywa na Serikali." amesema Mtwale.


Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda amesema watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa ndio watekelezaji wa shughuli nyingi za Serikali ngazi ya chini, hivyo mafunzo haya yatakwenda kuongeza ufanisi wa kazi.


Mtendaji wa Kata ya Mlowo, Bwn. Peter Nkeka amesema mafunzo yatakwenda kuwajengea uwezo wa kufanya kazi kwa kuboresha utendaji kazi kwenye sheria, taratibu na kanuni za kazi.


Afisa Tarafa wa Songwe, Godwin Kaunda amesema ni furaha kuona wanawezeshwa kwenye mbinu za kuboresha utendaji kazi ambao watakwenda kutimiza lengo la Ofisi ya Rais TAMISEMI kwani tangu 2003 hawajapata mafunzo licha ya mabadiliko ya miongozo mbalimbali hahatimaye leo chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania tumepata mafunzo, tunaishukuru sana Serikali.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa