• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MAPATO YA STENDI MPYA TUNDUMA YAFIKIA MILION 20.5

Imewekwa : July 25th, 2023

Na William Maganga - Tunduma TC

Mapato ya Standi ya Mabasi ya Halmashauri ya Tunduma iliyopo Kata ya Mpeba yaongezeka mara dufu hadi kufikia shilingi milioni Ishirini na Mbili kaki tatu kwa mwezi (Tsh. 20,500,000/=)

Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bwana Philemon Magesa ameeleza kuwa mapato haya yameongezeka kutokana na kuhama kwa Stendi hiyo toka kata ya Majengo ambapo ilikuwa kwa mwezi mapato yake ni Tsh. 14,300,000/= na sasa kuna ongezeko la Zaidi ya Milioni Tisa (Tsh. 6,200,000/=) kwa mwezi

“Hapo zamani tulikuwa hatuna standi ya Mji tulikuwa tunatumia eneo la Tanroad ambalo lilikuwa ni vigumu sana kuhudumia Mabasi yote yanayokuja Tunduma, sasa tangu tumehamia kwenye standi Mpya mapato yameongezeka sana na tunaendelea kuboresha huduma ili tukusanye Zaidi” alisisitiza Mkurugenzi Magesa

 

Akitoa ufafanuzi meneja wa stendi ya Tunduma Bwana Marko Ipini amesema mapato yameongezeka toka Tsh. 14,000,000/= hadi kufikia Tsh. 16,000,000/= kupitia ushuru wa magari, na kupitia huduma ya vyoo stendi ya awali mapato yaikuwa Tsh. 300,000/= kwa mwezi na sasa ukusanyaji umefikia kiasi cha Tsh. 4,500,000/= kwa mwezi.

Meneja amebainisha kuwa usalama umeongezeka kwa abiria kwani kuna sehemu za kupumzikia na kutunza mizigo pia wadau wa stendi wanatambuana hivyo ni rahisi kubaini wahalifu au nani kahusika kwenye upotevu wa mizigo ya abiria ikitokea kuna upotevu. Stendi ina walinzi imara toka Suma JKT na pia ndani ya Standi hiyo kuna kituo cha polisi ambacho kinafanya kazi

"Usalama umekuwa mkubwa Sana kwa kushirikiana na wadau wa stendi endapo mizigo ya abiria imepotea basi ofisi husika itahusika na ulipaji, kwa wale wanaobainika kupoteza mizigo ya abiria kwa uzembe au wanao onekana kuwa chanzo cha upotevu adhabu ya kuwapa likizo ya muda wa wiki mbili hadi mwezi mmoja huwakumba ili wajitafakari na kujisahihisha makosa yao, Hadi Sasa ni watu Saba wamekumbana na rungu la adhabu hiyo". Meneja stendi mpemba

Ufunguzi wa stendi ya Mpya ya Tunduma umeongeza pia fursa kwa wajasiriamali, wamiliki wa daladala na wadau wote wanaotumia standi hii mpya safari za ndani ya Tunduma, Mikoani na Nchi za Nje zote zinaanzia katika Standi hiyo

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Tusisahau Tulikotoka: TD Chaurembo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa