• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

MKURUGENZI WA TUNDUMA ASHEREHEKEA SIKU YA BABA WA TAIFA STANDI YA MABASI

Imewekwa : October 14th, 2022

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Ndugu Philemon Mwita Magesa ameamua kuazimisha kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere katika kituo kipya cha Mabasi kilichofunguliwa tarehe 13/10/2022 katika kata ya Mpemba.

Mkurugenzi Magesa amesema kuwa anafurahi sana kuona mwitikio wa Mabasi Makubwa, Costa na Daladala kuwa mkubwa sana kwani siku ya kwanza baadhi ya madereva wa Costa hawakuweza kuingiza gari zao stendi. Mh. Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakii Lulandala alikaa nao kikao na kuwaelimisha baada ya kikao hicho Costa zote zilingia stendi na kuendelea na safari kama kawaida

Ngudu Magesa amesema tayari Halmashauri ya Mji Tunduma imejipanga kukabiliana na changamoto zozote na kuzitatua kwa haraka kwani Standi hiyo ndiyo kwanza leo ni siku ya pili kutumika hivyo lazima changamoto ziwepo kwa kulitambua hilo Halmashauri imeweka watumishi watatu (03) Meneja wa Standi, Afisa Biashara na Mhandisi wao wapo muda wote kutatua changamoto yoyote inayojitokeza

Kwa upande wa wajasiriamali wadogo wadogo wameipongeza sana Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kuwatengea maeneo maalumu kwa ajili ya kufanya biashara zao

Bi. Elizabeth Haonga amesema

 “Kwakweli tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mamayetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kupitia kwa  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kuamua kutujengea Stendi hii kwani sisi wauza chakula kwakeli tunafanya sana biashara jana nimepika wali Kilo 12 zikaisha nikaongeza kilo 4 nazo zikaisha leo hii nimepika kilo 15 na ninaona utawahi kuisha na nitaongeza mwingine, nasema asante sana mama”


Nao wauza matunda, wauza vinywaji na mitumba wote wamefurahi sana kwani wamegawiwa maeneo ya kujenga meza kila mjasiriamali eneo lake ili waweze kuuza bidhaa zao kwa abiria.

Bwana Dickson Mgode ni muuza vinyaji ametoa pongezi kuwa eneo la standi ni kubwa hivyo wanaweza kuuza vinywaji bila usumbufu kwani mabasi yanasimama kwenye mistari vizuri tofauti na standi ya zamani

Kwa upande wao wasafiri wameipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kujenga stendi ya kisasa yenye sehemu nyingi na nzuri za kujikinga jua na Mvua pindi wanaposubilia usafiri.

Anna Msomba ni abiria anayetoka Sumbawanga Kwenda Ileje amesema anaishukuru sana Serikali ya Tunduma kwa kujenga Standi ya kisasa kwani baada ya kushuka kwenye Basi alilotoka nalo Sumbawanga amekaa masaa 2 kivulini kusubili basi la Kwenda Ileje

“Yaani hapa naona utofauti mkubwa sana na ile stendi ya mwanzo kwani ilikuwa ni juani tuu hakuna hata pa kupumzikia lakini hapa unakaa kivulini saafi huku unakunywa na soda wakati unasubiri basi lifike au lijae”


                                                                                                                                                                 


                                                                                                                                                              

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa