• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

NIMERIDHISWA NA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA GHOROFA INAYOJEGWA KWA MAPATO YA NDANI TUNDUMA_Majaliwa

Imewekwa : February 14th, 2023

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa jengo la ghorofa katika shule ya mpya ya Msingi Haisoja unahusisha vyumba kumi vya madarasa, ofisi nne za walimu na matundu 20 ya vyoo vya wanafunzi na matundu 4 ya vyoo vya walimu katika Halmashauri ya Mji Tunduma.

Waziri Mkuu amefanya Ukaguzi huo leo tarehe 14 Februari 2023 unaoendelea kutekelezwa katika kata ya Songea, Halmashauri ya Mji wakati mwendelezo wa ziara yake mkoa wa Songwe.

Mradi huo wa ujenzi wa shule unatekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani ya halmashauri ya mji na michango ya wananchi ambapo umeanza kutekelezwa tarehe 21/12/2021 na unatarajiwa kukamilika tarehe 28/02/2023.

Mradi huo hadi kukamilika unatarajia kugharimu shilingi milioni 830, ambapo mpaka sasa umepokea kiasi cha shilingi milioni 821 za Mapato ya Ndani na shilingi milioni 9 ikiwa ni Michango ya Wananchi.

Wakati akiongea na Wananchi, Waziri Mkuu amesema Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuimarisha sekta ya elimu kwa kuhakiksha kila Mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule anaanza masomo.

“Hongera sana Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Tunduma kwa ubunifu huu kwa kushirikiana na madiwani, mradi huu ni mfano wa kuigwa na halmashauri nyingine nchini, hapa naona kabisa matumizi ya pesa yanaendana na kinachoonekana na wananchi wananufaika kwa kinachokusanywa na halmashauri” alisema Mhe. Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu amesema Mheshimiwa Rais amendeleza sera ya elimu bure kuanzia darasa la awali mpaka Kidato cha sita na Kuzuia Michango ya ovyo ovyo kwa wazazi.

Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mhe. David Silinde amesema moja ya mkakati wa Halmashauri ya Mji Tunduma ni kujenga madarasa kwa kutumia mapato ya ndani ili kupunguza mrundikano wa wanafunzi darasani na kuongeza ufanisi katika ufundishaji.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa