• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

RPC Mallya: Kutengeneza Fedha Bandia ni Uhujumu Uchumi

Imewekwa : October 3rd, 2023

Na William Maganga, Tunduma TC

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza noti Bandia za Nchi ya Zambia.

Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, ACP Theopista Mallya alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari tarehe 03 Oktoba 2023 katika ofisi za jeshi hilo zilizopo Vwawa wilayani Mbozi.

Alisema watuhumiwa hao wamekamatwa tarehe 19 Septemba 2023 Mtaa wa Nazareth, Kata ya Mwakakati katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Wilaya ya Momba wakiwa na noti 12 za nchi ya Zambia zenye thamani ya kwacha 50 kila moja.

"Waliokamatwa ni wanaume wawili mmoja mwenye umri wa miaka 48 (Mzambia) mkulima mkazi wa Mpulungu Zambia na mwenzake ana umri wa miaka 59 (Mtanzania) mkulima mkazi wa Msongwa Tunduma.” Amesema RPC Mallya.

Kamanda Mallya amesema watuhumiwa hao pia wamekamatwa na karatasi 10 zenye ukubwa wa A4 zikiwa zimechapishwa kwacha 50 kwa idadi ya noti 36 ikiwa ni pamoja na karatasi ya A4 moja iliyochapishwa noti 4 zenye thamani ya kwacha 100.

Aidha, watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na visu viwili, kikubwa kimoja na kidogo kimoja cha kukunja, mkasi mmoja wa kukatia karatasi pamoja na vitambulisho viwili vya Taifa la Zambia vyenye namba Z.17714847 na Z.1600353.

Mkurugenzi wa Benki Kuu (BOT) Tawi la Mbeya, James Machemba alisema tukio hilo la utengenezaji fedha za bandia ambazo hutumika katika mpaka huo kuwa ni uhujumu uchumi ambapo huathiri uchumi wa mwananchi mmoja na taifa kwa ujumla.

Mkurugenzi huyo amesema BoT imekuwa ikishirikiana na Serikali ya Zambia kutoa elimu kwa Wananchi na Wafanyabiashara wanaofanya biashara za kubadilishana fedha ili waweze kuzitambua fedha kwa uhalisia wake.

----

Matukio Katika Picha

Picha zote juu ni matukio mbalimbali wakati na baada ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kuzungumza na vyombo vya habari tarehe 03 Oktoba 2023.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa