• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

STENDI KUU YA MABASI YA TUNDUMA IPO KATA YA MPEMBA_DC LULANDALA

Imewekwa : April 29th, 2023

Na William Maganga


Mkuu wa wilaya ya Momba Mhe. Fakii Lulandala amesema kwa sasa magari yote ya abiria yanayofanya safari za Tunduma na mikoa Jirani yataishia katika stendi kuu ya Mabasi ya Mji wa Tunduma iliyopo Kata ya Mpemba


Mhe. Lulandala ameyasema hayo wakati akitoa salamu la Serikali kuu katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Tunduma lililofanyika mapema leo tarehe 28 April 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkurugenzi uliopo kata ya Chapwa


Katika maelezo yake mkuu wa wilaya huyo amesema kuwa kumekuwa na maombi kuwa mabasi yanayotoka Mbeya kuja Tunduma yaingie hadi Mjini katikati, huo sio utaratibu mabasi yote yanatakiwa kuishia katika Kituo ambacho kimejengwa kwa mujibu wa sheria


“Ofisi ya mkuu wa wilaya kazi yetu ni kusimamia sheria na taratibu zote, Baraza la madiwani lililopita ndio lilipanga stendi kujengwa mpemba na baada ya maridhiano hayo mliomba fedha za ujenzi serikali kuu ikaleta sasa imeisha hivyo iendelee kutumika” alisisitiza Mhe. Lulandala


Pia Mhe. Lulandala amelishauri Baraza la Madiwani kama wanatakuwa na mipango ya kujenga stendi yam abasi nyingie ambayo itayafanya mabasi hayo kupita katikati ya Mji kwa kutumia fedha za mapato ya ndani sawa. Lakini kwa sasa stendi kuu ipo mpemba na inabidi sheria na taratibu zote za matumizi sahihi ya stendi zifuatwe

Matangazo

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili January 24, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 January 23, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mhe. Dkt. Nchemba Atembelea OSBP Tunduma

    March 20, 2025
  • Waziri Aweso Aagiza Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa Kukamilika kwa Wakati

    March 20, 2025
  • 'Ahadi Imetimia, Bilioni 119.9 Kutumika Mradi wa Maji Tunduma, Vwawa'

    May 20, 2025
  • Wananchi Wanatarajia Uongozi Bora Kutoka Kwenu: DC Mwandobo

    March 05, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa