• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TANZANIA NA CHINA ZAJIPANGA KUWANOA VIJANA STADI ZA UFUNDI

Imewekwa : July 20th, 2023

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema serikali imedhamiria kuimarisha Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ili kuwawezesha wahitimu kuwa na viwango vya kuajirika Kitaifa na Kimataifa.


Prof. Mkenda ametoa kauli hiyo Julai 14, 2023 Kibaha mkoani Pwani, wakati akifungua mkutano kuhusu ushirikiano Kati ya Serikali ya Tanzania na China katika masuala ya Elimu ya Ufundi.


"Semina hii inaendana na mipango ya Serikali kupitia Sera mpya yenye mageuzi makubwa ambayo inaifanya elimu ya Ufundi Stadi sasa kuanza kutolewa kuanzia ngazi ya Elimu ya Sekondari, kwa kufanya hivyo vijana wengi wa Kitanzania watakuwa na Ujuzi na utayari wa kufanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri". Alisema Prof. Mkenda.


Ameongeza kuwa ushirikiano wa nchi hizo mbilo utaisaidia Tanzania kufikia haraka maendeleo ya kiuchumi, kwani China ina mifumo imara katika

mafunzo ya Ufundi, Uhandisi.


"Tuna kazi kubwa sana kujifunza kutoka China wenzetu wana utaalam, angalia mafundi wao wanaokuja kusimamia kazi. Hivyo tunahitaji mafundi wetu wawe na uwezo wa kufanya kazi vizuri kama wao" amebainisha Prof. Mkenda.


Akizungumzia matokeo ya ushirikiano huo, Prof. Mkenda amesema tayari Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) imeanzisha program ya shahada ya miaka Minne, ambapo wanafunzi watakaochukuliwa mwaka wa Kwanza watasoma hapa Tanzania, miaka miwili watasoma China, halafu watarudi hapa mwaka mmoja, na hivyo watapata degree ya hapa Tanzania, pamoja na diploma ya China.


"Tumeanza na Wanafunzi 30, sasa hivi wamepelekwa China kufanya mafunzo kwa vitendo, watarudi watasoma na baadae tena watarudi China" Amefafanua Prof. Mkenda.


Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt. Adolf Rutayuga amesema hatua ya mashirikiano hayo, ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali, kuunganisha Vyuo vya Kati vya hapa nchini na vile vya Nchi zililoendelea kiteknolojia katika Elimu ya Ufundi.


Amesema vijana watakaopata fursa katika mpango huo wataleta chachu na msingi wa maendeleo ya kiuchumi kwani watakuwa na ujuzi katika viwango vya kimataifa.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa