• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUNDUMA YATIA SAINI MIKATABA YENYE THAMANI YA TSH. 507,632,017/=

Imewekwa : October 4th, 2022

Halmashauri ya Mji Tunduma leo imesaini mikataba 20 tofauti yenye thamani ya Tsh. 507,632,017 kwa wakandarasi na mafundi tofauti

Akiongea wakati wa utiaji Saini huo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe. Ayubu I. Mlimba amewaasa wakandarasi na mafundi hao kuwa waaminifu katika kazi walizopata kwani wakienenda kinyume na mkataba basi Halmashari haitasita kuchukua hatua stahiki dhidi yao.

“Kama kazi umesaini Tarehe ya kuanza na kumaliza iwe ileile kulingana na makubaliano ya kumaliza Mradi wako, Msiweke mafundi wachache tunataka tukimbie mafundi wawe wengi ili kuendana na muda tuliopeana” alisema Mhe. Mlimba

Mikataba hiyo ni kutokana na miradi ifuatayo

1.            Ujenzi wa kituo cha mabasi Mpemba.

2.            Kukodi mitambo kwa ajili ya kusafishia eneo la mradi wa soko la machinga.

3.            Ujenzi wa jingo la utawala kazi ya nyongeza.

4.            Ujenzi wa vyumba viwili 2 vya madarasa shule ya awali TTC.

5.            Ujenzi wa uzio uwanja wa mpira chapwa.

6.            Ufungaji mfumo wa umeme stand ya mabasi mpemba.

7.            Ujenzi wa bweni no.4 sekondari ya wasichana Namole.

8.            Ujenzi wa madarasa kumi 10 ya ghorofa sekondari ya wasichana Namole.

9.            Ujenzi wa nyumba wa kuhifadhi jenereta Jengo la utawala.

10.          Uchimbaji wa kisima shule ya sekondari ya  wasichana Namole.

11.          Uchimbaji wa kisima soko la machinga.

12.          Uchimbaji wa kisima kiwanda cha tofali Mpemba.

13.          Kukodi mtambo wa kuchanganya zege za paving stand ya Mpemba.

14.          Kukodi na kusafirisha mtambo uwanja wa michezo chapwa.

15.          Ujenzi wa jengo la kufulia kituo cha Afya Mpande.

16.          Ujenzi wa jengo la wagonjwa wan je (OPD) Mpande.

17.          Ujenzi wa madarasa shule ya wasichana Namole.

18.          Ufungaji wa madirisha na milango hospitali ya Mpemba.

19.          kuunganisha mfumo wa maji – Nyumba ya Mkurugenzi

20.          Ushauri wa kisheria kuhusiana na upekuzi wa mikataba.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma Philemon Magesa aliwasisitizia wakandarasi na watoa huduma kuwa tunataka nidhamu ya kazi Mshinde kwenye mradi wakati wote yaani usiku na mchana

“Tunataka Mfanye Kazi usiku na mchana mkimbie na Kazi zenu taa zifungwe na miradi yote pesa zipo hivyo hatuna kikwazo weka mafundi kwa awamu ya usiku na ya mchana kama ni Jenereta tutanunua”

Pia mkurugenzi alikemea suala la rushwa akisema

“Hakuna mtumishi atakaye kwambia nimetumwa na Mkurugenzi au Mwenyekiti, kama kuna mtu anataka rushwa njoo uniambie au mwambie Mwenyekiti wa Halmashauri. Najua halipo hilo ila likitokea njoo haraka”


Ukiwa na  jambo ambalo Lipo nje ya mikataba tuliyosaini Leo njoo useme maana likiharibika wewe ndiye Utakaye husika. Hatuna ukuta wa kumuona Mwenyekiti Au Mkurugenzi kwa nia ya kufanya kazi, mfano Vifaa havijafika eneo la Kazi na wewe kazi umesimama, hapo atakaye wajibika ni wewe sio Afisa

Ili upate Kazi nyingine hapa Halmashauri lazima uwe umefanya vizuri, Mradi ukiharibika inamaana mmelitendea vibaya Baraza la madiwani. Kazi zenu Mkizifanya haraka Ndio mwanzo wa kupewa Kazi nyingine katika Halmashauri yetu

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa