• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

TUWAFUDISHE WATOTO WETU MAADILI MEMA_DC LULANDALA

Imewekwa : April 20th, 2023

Na William Maganga - Tunduma TC

Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Fack Lulandala amewaomba Viongozi wa Dini kuendelea kupinga mmomonyoko wa maadili unaoendelea kuliyumbisha Taifa 

Mhe. Lulandala ameyasema hayo wakati anaongea na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati wa kupata Iftar maalumu iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kwa kishirikiana na Halmashauri zote mbili yaani Halmashauri ya Mji Tunduma na Halmashauri ya Wilaya ya Momba kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Mkuu wa Wilaya huyo amewaomba Viongozi na Waumini wote kuendelea kupinga Mambo ya Ushoga na Usagaji kwani ni kinyume na maadili ya Dini zote na Mambo hayo yanalenga kuharibu Nguvu kazi za Taifa

"Nawaomba sana Viongozi na Waumini wote tumuunge mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupinga Mmomonyoko wa Maadili hususani wimbi hili lililoikumba Dunia Sasa la ndoa za Jinsia moja" alisisitiza DC 

LulandalaShekh mkuu wa mkoa wa Songwe Hussein Batuza  amesema kwa niaba ya Waislamu wote wa Mkoa wa Songwe wapo pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan 

"Anaye pinga uongozi wa mama Samia basi anapingana na maagizo ya Mwenyezi Mungu na hafai katika Taifa letu kwani tunaamini Mama yetu huyu ameletwa na Mungu ili atuongoze watanzania" alisema Sheik Batuza 

Aidha Sheik Batuza amesema kuwa Hakuna Ushoga wala Usagaji utakao kubalika katika mkoa wa Songwe

"Mkuu wa Wilaya tunakuagiza Kwa Rais Mwambie Mkoa wa Songwe tupo salama na tunaiunga mkono Serikali yetu na hatuto ruhusu Mmomonyoko wa maadili uuharibu mkoa wa Songwe tutasimama kila Kona kukemea mambo yote yanayoashiria mmomonyoko wa Maadili" alisisitiza Sheik Batuza 

Mkuu wa Wilaya ya Momba ametoa vyakula Kwa ajili ya sikukuu ya eil El fitr ambavyo ni Michele kilo 220, Mafuta ya kupikia lita 20, Sukari kilo 7, Maji ya kunywa Katoni 13 na Mbuzi 5 ambavyo amemkabidhi Sheik mkuu wa Mkoa wa Songwe Kwa niaba ya Waislamu wote Wilaya ya Momba

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa