• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

UZINDUZI WA KITUO CHA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA TUNDUMA

Imewekwa : August 17th, 2021

Mh.Omary Tebweta Mgumba Mkuu wa Mkoa wa Songwe akiwa mgeni rasimi ili kuzindua kituo cha waathirika wa dawa za kulevya (TUNDUMA MAT CLINIC) Kilicho anzakutoa  huduma hiyo rasimi mnamo tarehe 17/8/2021 Tunduma mkoani Songwe

 Serikali ya fanya jitiada kubwa sana kuokoa vijana 56 na wanane 8 wakikutwa na maambukiz ya ugonjwa wa UKIMWI. Walio pata  athari za matumizi ya dawa za kulevya  Tunduma  kwa kuwapatia huduma mbalimbali ikiwemo pamoja na dawa za kudhibiti  athari za dawa za kulevya

 Dawa za kulevya ikiwemo pamoja na matumizi ya Bangi,Milungi,Pombe kali na Heroin.  Mkuu wa mkoa akiomba ushirikiano mkubwa kwa vyombo vya usalama kuwa kipaumbele kutoa elimu kwa wanajamii juu ya athari za matumizi ya dawa za kulevya na kukamata vyanzo vya biashara hizo Tunduma Songwe

Vilevile tiba imeanz kwa vijana walio athirika na dawa za kulevya mkoa wa Songwe Tunduma katika Hospitali ya tunduma (TUNDUMA MAT CLINIC)mkuu wa mkoa akiishukuru serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Hassan Suluhu kwa ukombozi wa vijana hao  kuwaleta tiba ya matumizi ya dawa za kulevya “Mh.Omary Tebweta Mgumba kwajinsi mnavyoshilikiana na sisi mkoa wa Songwe hasa kutoa elimu katika umma kwa wanachi wa Songwe,kitendo hiki kinasaidia katika kuokoa jamii yetu”

Kamishina Generaly J.M.Msaya  aliyekuwa akifanya kazi katika wizala ya kilimo baada ya teuzi za Rais Samia Hassan Suluhu akateuliwa Generaly wakuzuia na kupambana na dawa za kulevya  mkoani Songwe mamlaka hii ilianza 2015 ikazinduliwa rasimi mnamo feb, 2017. vilevile baradha hukutana mara mbili ndani ya mwaka 1 ilikujua jinsi ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya bangi ,pombekali, mirungi pamoja na heroin  wakishilikiana na mataifa mbalimbali kudhibiti hilijambo ikiwemo Angai,majini na ardhini.


Asilimia 91% tumedhibiti kwa sasa Tanzania imekua ya kwanza kimataifa. watu wengi wamekua wakijiuliza huwa tunapeleka wapi tukizikamata dawa za kulevya niseme kwamba huwatunaita waandishi wa Habari pamoja na viongozi wote wa mkoa wa songwe ili kuchoma moto nakuteketeza kabisa” Tushilikiane pamojia na wananchi kutokomeza na kupambana na dawa za kulevya endapo Mtu yeyote utakamatwa  na dawa za kulevya sheria kali itachukuliwa dhidi yake.

Mh.Fatuma Hassan Taifiki mwenyekiti wakamati ya ukimwi,kifuakikuu,magonjwa yasiyoambukizwa pamoja na dawa za kulevya Dodoma alialikwa katika uzinduzi wa kituo cha afya tunduma (TUNDUMA MAT CLINIC).akiviomba vyomba vyombo vya usalama kudhibiti Ugonjwa Ukimwi,kifua kikuu na yasiyokua ya kuambukizwa pamoja na dawa za kulevya. Mkoa wa Songwe vijana wengi wanaharibika sana na dawa za kulevya licha ya vijana pamoja na watu wazima yanii wazee  wenye umri wamiaka 60 nakuendelea

.Atoa wito kwa wanajamii watu walio achana na utumiaji dawa za kulevya jamii zisiwatenge,wapate elimu zaidi kupitia wao wapewe ushilikiano yaani mitaji ili waweze kujiendeleza katika maisha yao. Vilevile akigusia suala la gonjwa la UKIMWI akizungumza na waandishi wa habari idadi kubwa mkoani songwe wanaume wakigoma kwenda kupima afya zao kutokana na hofu kubwa ya ugonjwa wa ukimwi. Akatoa agizo kwa vyombo vya usalama na  wanajamii kuchunga watoto wao wakike(mabinti) miaka 14-16 wanaume wasiwaguse  bali wa waache watotoa hao wasome ilikutimiza ndoto zao.

Vijana hao walio athirika wakili makosa yao ya matumizi ya dawa za kulevya na vile vile waiomba jamii nzima inayo wazunguka radhi  ili kutokutengwa na jamii   pia waiyomba serikali endapo kutakua na mikopo wawezeshwe iliweze kujiajili na kuinua uchumi wa nchi ya Tanzania nasiyo kupoteza nguvu za ujana wao kujikita katika makundi mabaya na utumiaji wa dawa za kulevya .

Vijana hao wote ”tulikua atuwezi kuamka nakufanya shughuri zetu kabla ya kutumia dawa za kulevya hivyo tunaishukuru serikari yetu kakutuwezesha kutupatia dawa na sasa tupo sawa kiakili pamoja na kinguvu ombiletu kwa serikali tunaomba kama kuna uwezekano wakutu kopesha mikopo tukiwa watano  watano au wanne ili tufanye shughuri  zetu binafsi na kujingizia kipato kwasababu tnakamtaani bila kazi hili nijambo lililo pelekea sisi kujikita kwenye dawa za kulevya apo awali” wakitaji kushikwa mkono ili waweze kufanya mambo ya msingi zaidi.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa