• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WAKULIMA WATOA PONGEZI KWA HALMASHAUJRI YA MJI TUNDUMA

Imewekwa : October 12th, 2022

Mamia ya wakulima waliotembelea Banda la Halmashauri ya Mji Tunduma wametoa pongezi za dhati kwa uongozi wa Halmshauri hiyo kwa kutoa Elimu juu ya Afya ya Udongo na Kilimo kwa ujumla

Hayo yamejiri baada ya Halmashauri hiyo kutoa elimu juu ya afya ya udongo na kuupima bure bila gharama yoyote pamoja na njia za kuurutubisha udongo uliopo mashambani mwa wakulima wengi

Wakiongea kwa wakati tofauti baadhi ya wakulima wamesema suala la kutokuwa na elimu ya afya ya Udongo limewafanya kuendelea kuwa masikini kwani wanalima sana lakini mavuno yao yanakuwa kidogo licha ya kuwa wanantumia mbolea kila siku

Bi. Mariamu Nzunda amesema alikuja katika banda la Halmashauri ya Mji Tunduma kupata elimu ya Afya ya Udongo na baadaye akaenda shambani kwake kuchukua udongo na amepimiwa bure na kupewa ushauri jinsi ya kuyatunza mashamba yake

“Nawashukuru sana hawa wataalamu wa Tunduma kwani wamenielekeza jinsi ya matumizi sahihi ya Mbolea kumbe nilikuwa nalima kwa hasara na baadhi ya mbolea sikutakiwa kuitumia kabisa, lakini sasa nimeipata elimu ambayo itanifaa miaka mingi” alisema Bi. Mariam

Kwa upande wake Bwana Fank Mwakajoka Lameipongeza sana Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kununua vifaa vya kupima afya ya Udongo na ameomba elimu hiyo isiishie kwenye maadhimisho ya siku ya Mbolea tu bali iwafikie wakulima hukohuko mashambani

“Mimi nimpongeze sana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa uamuzi huu wa busara wa kununua vifaa kwa ajili ya kupimia Afya ya udongo ambao unakwenda kutatua tatizo kubwa la wakulima wengi tuamekuwa tukilima kila siku na kupata mazao kidogo, ninaamini kama wataalamu mtatoa elimu hii kila eneo basi kutakuwa na badiliko kubwa sana la kilimo mwaka huu” alisema Mwakajoka

Kwa upande wake Afisa Kilimo Bwana Zawadi Mwampashe amesema Halmashauri imejipanga kuwafikia wakulima Zaidi ya mia sita (600) waliopo ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kuwasaidia ili waweze kulima kilimo chenye tija

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Maonesho ya Fani za Ndani Yafana

    May 26, 2025
  • Mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Songwe Rarindima

    May 26, 2025
  • Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Wawasili Tunduma

    May 26, 2025
  • 'Hii Tunashinda kwa Kishindo'

    May 25, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa