• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
TUNDUMA TOWN COUNCIL
TUNDUMA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mipango
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Divisheni ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo ya Miji na Vijijini
      • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya , Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Lishe bora kwa Afya imara
      • Mapambano dhidi ya Malaria
      • Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya
      • Mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI
    • Huduma ya Elimu
      • Huduma ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi
      • Huduma ya Elimu ya Sekondari
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya Kilimo
    • Huduma ya Mifugo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Uchumi, Mipango Takwimu
      • Kamati ya Elimu, Afya na maji
      • Kamati ya Kazi, Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Ethics Committee
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Instagram
    • Facebook
  • Nyaraka
    • Nyaraka
    • Miongozo

WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUSIMAMIA UFUNGAJI HOJA ZA UKAGUZI ZA HALMASHAURI ZAO

Imewekwa : November 28th, 2022


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Mhe. Angellah Kairuki amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanazisimamia halmashauri zote kufunga hoja za ukaguzi wa hesabu za serikali.


Ametoa maagizo hayo leo Novemba 25, 2022 alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.


"Kuna Halmashauri wana hoja ambazo zipo kwa muda wa miaka miwili hadi mitatu kutokana labda na uzembe wa kutoambatanisha nyaraka, hakikisheni mnazisimamia halmashauri hizo ili zijibu hoja kwa wakati na kuzifuta kabisa," amesisitiza Waziri Kairuki.


Ameziagiza Halmashauri kuhakikisha hoja hazijirudi na elimu itolewe kwa wahusika wanaojibu hoja ili kupunguza hoja zinazoletwa na CAG.


Waziri Kairuki pia amewataka kuhakikisha hoja hizo zinachambuliwa kwa kina ili kujua hoja zinazojibika na kuhitaji viambatanisho ili zifanyiwe kazi na kufutwa kabisa kwa wakati.


Vilevile, Waziri Kairuki ameagiza wasimamie ukusanyaji wa mapato na matumizi yake kwa kutumia mifumo ya ukusanyaji wa mapato na kuacha kutumia fedha mbichi.


Amewataka viongozi hao kuwa wanaangalia utaratibu wa kuwapata mawakala kwa kuangalia historia zao, uzoefu na ufanisi wao katika kazi ili kujirishisha kwa kuwa wanafanya kazi kwa niaba ya Halmashauri katika suala la ukusanyaji wa mapato.


“Nendeni mkazihakiki na kuzikagua POS mashine ili kujua zinazofanya kazi, zilipotea na ambazo hazifanyi kazi ili kujiridhisha na kutolea taarifa kwa zile ambazo hazifanyi kazi Ofisi ya Rais TAMISEMI,”ameelekeza Waziri Kairuki.


Amesema Halmashauri zote nchini zinapaswa kuhakikisha wamejiunganisha na mfumo wa Tausi katika ukusanyaji wa mapato ifikapo Novemba, 2, mwaka 2022.


Amewataka kuhakikisha wanatumia mfumo wa utoaji mikopo ya asilimia 10 na kufanya ufuatiliaji wa urejeshwaji wa mikopo hiyo pia vikao vilivyowekwa kisheria vinafanyika kwa wakati kuanzia ngazi ya Kata hadi Mkoa.


Aidha ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanajikita katika suala la usafi wa mazingira ili kupendezesha miji

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Madiwani kwa Kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 May 14, 2025
  • Orodha ya Majimbo Mapya na Yaliyobadilishwa Majina May 12, 2025
  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Watahiniwa 694 Kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita 2025 May 03, 2025
  • Taarifa kwa Umma February 27, 2025
  • Onyesha Zote

Habari mpya

  • Mashindano ya UMISSETA Ngazi ya Halmashauri Yaanza Rasmi

    June 02, 2025
  • DAS Nkinda: Ziara ya Viongozi DR Congo Ina Manufaa Tunduma, Taifa

    May 30, 2025
  • Tunduma TC Yang'ara Mpira wa Miguu, Kwaya, Bongo Fleva UMITASHUMTA

    June 28, 2025
  • Dkt. Kasululu Ahitimisha Mashindano ya UMITASHUMTA

    May 28, 2025
  • Onyesha Zote

Maktaba ya video

Ubunifu mkoa wa Songwe
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Songwe Shindani Blogspot
  • Watumishi Portal
  • Tunduma yapata hati Inayoridhisha
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019
  • Tangazo la kazi sekta ya Afya
  • Sherehe za Muungano
  • Kibali cha Matangazo

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti ya Mkoa wa Songwe
  • OR-TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Msampania, Chapwa - Tunduma

    Sanduku la Posta: P. O. BOX 73

    Simu ya Mezani: +255 25 2957388

    Simu ya Mkononi: +255 756 427 307

    Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa