HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA
TAARIFA YA UJENZI WA MATUNDU 12 YA VYOO SHULE YA MSINGI MAJENGO
HISTORIA FUPI YA SHULE
Shule ya msingi Majengo ilifunguliwa mwaka 2002, Shule hii inatoa Elimu ya Awali, MEMKWA na Elimu ya msingi darasa la kwanza hadi la Saba, Idadi ya wanafunzi ni Wavulana 599,Wasichana 613 Jumla 1212. Shule ina walimu wa kiume 3,wakike 14, Jumla 17.
|
|
|
|
HISTORIA YA MRADI;
Fedha ya iliingia Tar 14/4/202 kutoka EP4R kwa ajili ya ujenzi wa matundu 12 ya vyoo.Utekelezaji wa mradi ulianza Tar 26/5/2021. Manunuzi na kulipa fedha za vifaa vya ujenzi yalianza kwa kutumia force akaunti yaani kununua vifaa kwa bei iliyoko sokoni na sio kwa bei ya uzabuni.
|
|
|
|
HALI HALISI YA UTEKELEZAJI WA MRADI.
Kupitia fedha hiyo sh.13,200,000/= Tumeweza kujenga matundu 12 na 1 la ziada jumla tumejenga matundu 13, matundu11 ya wanafunzi na 2 ya walimu. Matundu 11 ya wanafunzi yamekamilika na 2 ya walimu yamekamilika pia
|
|
|
|
MANUFAA YA MRADI
Zifuatazo ni baadhi ya faida za mradi huu kwa shule yetu na jamii kwa ujumla;
Ongezeko la matundu bora 2 ya vyoo vya walimu.
Msampania, Chapwa - Tunduma
Sanduku la Posta: P. O. BOX 73
Simu ya Mezani: +255 25 2957388
Simu ya Mkononi: +255 752 807 767
Barua Pepe: td@tundumatc.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya mji Tunduma. Haki zote zimehifadhiwa